The best companion that never bores
Surah Al-Ikhlas ( Sincerity )

Swahili

Surah Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Aya count 4

قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ﰀ ﴿١﴾

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ﰁ ﴿٢﴾

Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ ﰂ ﴿٣﴾

Hakuzaa wala hakuzaliwa.

وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ ﰃ ﴿٤﴾

Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.